Home » , » AHMED RASHAD ALI BINGWA WA PROPAGANDA ZA UKOMBOZI WA AFRIKA

AHMED RASHAD ALI BINGWA WA PROPAGANDA ZA UKOMBOZI WA AFRIKA

Written By mahamoud on Tuesday, 31 December 2013 | 05:49

1931 Cup
Central Government School
Mnazimmoja
Waliosimama kuanzia kulia:

1.    Amour Muhammed Al Barwani
2.    Muhammed Abdulla Al Ghassany (marehemu Baba)
3.    Saleh ( Baba yake alikuwa akiuzwa Haluwa)
4.    Muhammed Abdulla Salim Al Barwani
5.    Unknown
6.    Saleh Awadh Al Hadhramy
7.    Unknown
8.    Muhammed Amran ( From Pemba)
9.    Muhammed Muhammed Othman
10.    Unknown
Waliokaa kwenye viti kutoka kulia1.    Eisa Muhammed Said Al Barwani
2.    Ahmed Rashad Ali Bakashmar (marehemu Mzee Rashadi)
3.    Hussein Gahtan
4.    Maalim Hilal Al Barwani
5.    Ali Muhsin Al Barwani (marehemu Sheikh Ali Muhsin)
6.    Ali Khalifa Al Miskry
7.    Ali Said
Waliokaa Chini kwenye ardhi kutoka kulia
1.    Muhammed Ali Ameir Al Marhoubi

2.    Suleiman Said Al Kharusy
Majina yote ameyapata Sheikh Taha Baharoon (wa Dubai) kutoka kwa  Bwana Amour Muhammed Al Barwani aliyopo Muscat.

Tutakuwekeeani hapa maisha ya Ahmed Rashad Ali na katika maisha yake lau kwa mukhtahsari tutamtaja Ali Muhsin Barwani. Wote hawa wawili ni watu ambao historia ya ukombozi wa Zanzibar haiwezi kukamilika bila kuwataja. 

Ahmad Rashad Ali alikuja kuwa mcheza mpira maarufu India wakati akiwa mwanafunzi na kisha kuwa mchezaji maarufu na nahodha wa timu ya Zanzibar katika mashindano ya Gossage Cup katika miaka 1940 hadi 1950. Ali Muhsin alifahamika kwa kuwa hodari vilevile katika mpira utotoni lakini zaidi kwa uhidari wa masoma darasani kiasi cha kwenda kusoma Makerere College, Uganda. Lakini Ali Muhsin atakachokumbukwa sana kwa siku zile ni kuongoza harakati za siasa chini ya Zanzibar Nationalist Party (ZNP) au kwa jina lingine Hizbu L' Watan. Ali Muhsin alikuwa katika serikali ya kwanza ya Zanzibar iliyopinduliwa mwaka 1964 na yeye akawekwa kifungoni Tanzania Bara kwa amri ya Nyerere kwa miaka 10.

Vuteni subra tunatayarisha mahanjumati...
Share this article :

Post a Comment

Unadhani kuwa nani anasifa ya kuwa rais wa Tanzania?